Shamil Borchashvili

Shamil Borchashvili (alizaliwa mnamo 9 Juni 1995) ni raia wa Austria na mwana judo. [1] [2]
Alihamia na familia yake huko Wels, Austria kutoka Chechnya, Urusi alipokuwa mtoto. [3]
Borchashvili alishinda medali ya fedha katika mashindano ya 2021 Judo Grand Slam Tbilisi katika kundi la -81. [4]
Borchashvili alishinda medali ya shaba katika shindano la judo la wanaume wenye kilo 81 katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya 2020 iliyoahirishwa na kufanyika mwaka 2021 Tokyo.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Shamil Borchashvili IJF Profile (English). IJF.org. Iliwekwa mnamo 2021-04-22.
- ↑ Shamil Borchashvili JudoInside Profile (English). judoinside.com. Iliwekwa mnamo 2021-04-22.
- ↑ Judo-Brüder kämpfen für Österreich (de). nachrichten.at (17 August 2017). Iliwekwa mnamo 2021-07-27.
- ↑ Results 2021 Grand Slam Tbilisi - 81 kg (English). IJF.org. Iliwekwa mnamo 2021-04-22.