Sfiso Ncwane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sfiso Ncwane ( 21 Aprili 19795 Desemba 2016 [1] ) ni mwimbaji na mtunzi wa Afrika Kusini.

Mnamo 1997, Ncwane alijiunga na bendi ya Mlazi iitwayo New Edition, na mwimbaji mkuu Ntombifuthi Mntambo na mpiga ngoma Skhumbuzo Gumede. [2] Ncwane pia anajiunga na bendi inayoitwa 'One Touch', mwimbaji mkuu Bw Joe Gcabashe na wacheza Kinanda: Sikhona Gumede na Senzo Sabela.

Kifo[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Desemba 4, 2016, Ncwane alilazwa katika Hospitali ya Life Fourways, Johannesburg na kufariki akiwa na umri wa miaka 37. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Shumba (2016-12-05). Top South African musician S’fiso Ncwane is no more | Music In Africa. Music In Africa. Iliwekwa mnamo 2021-12-12.
  2. Dlamini (2016-12-06). The Sfiso Ncwane I knew before Kulungile Baba. Sowetan LIVE. Iliwekwa mnamo 2021-12-12.
  3. Magubane (2016-12-06). Sfiso Ncwane’s death shock. Independent Online. Iliwekwa mnamo 2021-12-12.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sfiso Ncwane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.