Seva pepe binafsi
Katika utarakilishi, seva pepe binafsi (kwa Kiingereza: virtual private server) ni seva inayouzwa na mtoa huduma za tovuti. Watu wanaweza wakatumia seva pepe binafsi juu ya seva yao. Kwa kweli seva pepe binafsi ni nakala ya seva yenye nakala mfumo wa uendeshaji.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)