Serra da Estrela
Mandhari

Serra da Estrela ni mlima wa Ureno (Ulaya).
Urefu wake ni mita 1,993 juu ya usawa wa bahari. Hivyo ni wa juu kuliko milima yote ya Ureno bara.
- Serra da Estrela
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ureno bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Serra da Estrela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |