Nenda kwa yaliyomo

Sergio Corbucci

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sergio Corbucci
Mwongozaji Sergio Corbucci
Mwongozaji Sergio Corbucci
Jina la kuzaliwa Sergio Corbucci
Alizaliwa 6 Desemba
Italia
Kafariki 1 Desemba 1990
Kazi yake Mwongozaji wa Filamu.

Sergio Corbucci (6 Desemba mwaka 1927 - 1 Desemba mwaka 1990) alikuwa mwongozaji wa filamu wa kitaliano. Filamu zake nyingi zilikuwa na watu mafedhuri, kisha bado ni filamu zenye maarifa ya juu. Sergio alifahamika zaidi katika filamu za western ya Italia, maarufu kama spaghetti westerns.

Filamu zilizoongozwa na Sergio Corbucci[hariri | hariri chanzo]

 • Minnesota Clay (1965)
 • Django (1966)
 • Ringo and his Golden Pistol (1966)
 • Navajo Joe (1966)
 • The Hellbenders (1967)
 • The Mercenary (Mtaalam wa bunduki) (1968)
 • The Great Silence (1969)
 • Companeros (1970)
 • Di che segno sei? (1975)
 • The Con Artists (1976)
 • Il signor Robinson (1975)
 • Trinity: Gambling for High Stakes (1978)
 • Super Fuzz (1980)
 • A Friend Is a Treasure (1981)

Ona pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sergio Corbucci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.