Nenda kwa yaliyomo

Semiotiki ya mitandao ya kijamii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Semiotiki ya mitandao ya kijamii hujadili picha, alama na ishara zinazotumika katika mifumo inayowaruhusu watumiaji kuwasiliana na kubadilishana mawazo wao kwa wao. Mifano ya mifumo ya mitandao ya kijamii ni pamoja na Facebook, Twitter na Instagram[1].

  1. http://academic.brooklyn.cuny.edu/education/jlemke/theories.htm