Nenda kwa yaliyomo

Seli za damu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Seli nyekundu na nyeupe za damu

Seli za damu ni seli za pekee ambazo, pamoja na plasma ya damu, zinafanya damu ya wanyama wengi, hasa ya wanyama wenye uti wa mgongo (vertebrata).

Katika vertebrata (pamoja na binadamu) kuna hasa aina tatu za selidamu:

Selidamu zote zinatengenezwa ndani ya mifupa.

Kuna pia aina za selidamu kati ya wanyama wasio na uti wa mgongo; minyoo huwa pia na erithrosaiti. Wengine huwa na damu inayozunguka, wengine wana seli hizi moja kwa moja katika kiwevu cha seli zao.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seli za damu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.