Sekta Binafsi
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Sekta binafsi ni ile sehemu ya uchumi ambayo huendeshwa kwa faida binafsi na haidhibitiwi na serikali. Kwa kulinganisha, makampuni ambayo ni sehemu ya jimbo ni sehemu ya sekta ya umma; binafsi, mashirika yasiyo ya faida yanaonekana kama sehemu ya sekta ya hiari.
Hadhi ya Kisheria
[hariri | hariri chanzo]Kuna miundo mbalimbali ya kisheria ya sekta binafsi na mashirika ya biashara, yanayolingana na mamlaka waliyonayo ya kisheria. Watu binafsi wanaweza kufanya biashara bila lazima ya kuwa sehemu ya shirika lolote.
Katika nchi ambapo sekta binafsi ni ya kupimiwa au hata haramu, baadhi ya aina ya biashara binafsi huendelea kufanya kazi ndani yao.
Sekta binafsi huzingatia mahitaji ya wanahisa.
Ajira
[hariri | hariri chanzo]Sekta binafsi inaajiri wengi wa nguvukazi katika nchi nyingi. Hata hivyo, katika baadhi ya nchi kama Jamhuri ya Watu wa China, sekta ya umma inaajiri zaidi.[1]
Takwimu ya mashirika
[hariri | hariri chanzo]- Eurostat
- United Nations Statistics Division
- UNESCO Institute for Statistics
- OECD Statistics Division
- PARIS21
- International Association for Official Statistics(IAOS), a section of the ISI[10]
- Worldwide statistical sources Ilihifadhiwa 24 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Joe Zhang. "China's private sector in shadow of the state". ft.com. Iliwekwa mnamo 2007-07-06.