Sefrou
Mandhari
Sefrou ni mji wenye wakazi 68,272 (2008) ambao upo Moroko.
Utamaduni
[hariri | hariri chanzo]Sefrou inafahamika kwa sherehe (tamasha) za Sefrou Cherry iliyodhaminiwa na UNESCO, inayofanyika mwezi wa Juni kila mwaka.[1] Sherehe hii ilianzishwa mnamo mwaka 1920, ikijumuisha mashindano ya urembo ambapo wanawake wa Morocco wanashindania kuwa mlimbwende wa Cherry. Sherehe hii inadumu kwa siku tatu na kujumuisha muziki wa kitamaduni, Vyakula vya utamaduni wa Morocco na michezo.[2] Mji una Medina na misikiti miwili na kila alhamisi ni siku ya soko.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sefrou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "Terre de Traces Ecolodge". The Telegraph. Iliwekwa mnamo 21 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Sefrou Cherry Festival", Moroccan Zest, 2018-09-14. (en-US)