Nenda kwa yaliyomo

Sean Kingston

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sean Kingston
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii Sean Kingston
Nchi Marekani-Jamaika
Alizaliwa 3 Februari 1990
Aina ya muziki Reggae
pop
pop rap
Kazi yake Mwanamuziki
Miaka ya kazi 2007 - hadi leo
Ameshirikiana na Buju Banton
J. R. Rotem
Paula DeAnda
Kampuni Beluga Heights
Epic
Koch

Kisean Anderson (amezaliwa tar. 3 Februari 1990 mjini Miami, Florida, Marekani) anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Sean Kingston, ni rapa na mwimbaji wa raggae wa Kijamaika-Marekani. Japokuwa, Sean alizaliwa Marekani, lakini makuzi yake yote yalikuwa mjini Kingston, Jamaika, aliondoka Marekani akiwa na umri wa miaka sita. Jina hilo analo tumia la "Sean Kingston" amemaanisha kuwa kama anatoa heshima kwa Kingston, Jamaika. Sean vile vle ana urafiki mkubwa na baadhi ya waimba Reggae maarufu nchini Jamaika (Buju Banton) ambaye pia ndiye aliyemshauri Sean kujiusisha na maswala ya muziki.

Albamu alizotoa

[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo maarufu

[hariri | hariri chanzo]
 • 2007: "Beautiful Girls"
 • 2007: "Me Love"
 • 2007: "Take You There"
 • 2007: "There's Nothin'" (featuring Paula DeAnda)
 • 2007: "Gotta Move Faster"

Nyimbo alizoshiriki

[hariri | hariri chanzo]
 • 2007: "Love Like This" (Natasha Bedingfield akishrikiana na Sean Kingston)
 • 2007: "Big Girls Don't Cry (nyimbo ya Fergie)|Big Girls Don't Cry (Remix)" (Fergie (mwimbaji) |Fergie akishrikiana na Sean Kingston)
 • 2007: "What Is It" (Baby Bash akishrikiana na Sean Kingston)

Nyimbo alizokuwa mgeni mwalikwa

[hariri | hariri chanzo]
 • 2007 "Love Like This (nyimbo ya Natasha Bedingfield ) Love Like This" (Natasha Bedingfield akishrikiana na Sean Kingston)
 • 2007 "Big Girls Don't Cry (nyimbo ya Fergie) Big Girls Don't Cry (Remix)" (Fergie (mwimbaji |Fergie akishrikiana na Sean Kingston)
 • 2007 "Too Young" (Lil Fizz akishrikiana na Sean Kingston)
 • 2007 "Shorty Got Back" (Eric akishrikiana na Francisco na Sean Kingston)
 • 2007 "Doin' Dat" (Clyde Carson akishrikiana na Sean Kingston)
 • 2007 "Like This (nyimbo ya MIMS ) Like This (remix)" (MIMS akishrikiana na She Dirty, Sean Kingston, Red Cafe, na N.O.R.E.)
 • 2007 "Real D-Boy" (Triple C akishrikiana na Sean Kingston)
 • 2007 "Welcome two My Hood" (Ya Boy akishrikiana na Sean Kingston)
 • 2007 "Dollar Bill (Remix)" (Red Cafe akishrikiana na Jermaine Dupri, Juelz Santana, Sean Kingston na Busta Rhymes)
 • 2007 "Smile" (Lil Wayne akishrikiana na Sean Kingston)
 • 2008 "Gangster" (Bun B akishrikiana na Sean Kingston) (imeshatangazwa kuwa nyimbo hiyo kuwa itatolewa pamoja na albamu ya 2 Trill)

Tuzo/Uteuzi

[hariri | hariri chanzo]
 • Tuzo ya MOBO
  • 2007: Mwimbaji bora wa Reggae
 • Tuzo ya Teen Choice
  • 2007: Choice R&B nyimbo "Beautiful Girls"
  • 2007: Choice Summer nyimbo "Beautiful Girls" (imeteuliwa kuwa nyimbo bora)
 1. https://archive.today/20120526065815/www.billboard.com/bbcom/bio/index.jsp?pid=852865
 2. https://archive.today/20120910231430/www.nypost.com/seven/08122007/business/no_rap_turf_war_here_business_.htm

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.