Majadiliano:Sean Kingston
Weka madaMandhari
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Baba Tabita
Makala ya tarehe 19 Desemba ilifuta makala ya tarehe 21 Septemba (angalia hapa), kwa hiyo lazima makala hizo mbili ziunganishwe kabla ya kuendeleza makala yenyewe. Poleni na kazi! --Baba Tabita (majadiliano) 22:16, 11 Juni 2010 (UTC)