Orodha ya albamu za Sean Kingston

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mwanamuziki Sean Kingston.

Hii ni orodha ya albamu na nyimbo maarufu za Sean Kingston.

Albamu alizotoa[hariri | hariri chanzo]

Albamu Nyimbo maarufu
Sean Kingston
  • Ilitolewa: tar. 31 Julai 2007
  • Studio: Epic Records/Beluga Heights
  • Chati ilizoshika: #6 U.S.
  • RIAA Certification:
  • Mauuzo katika U.S: 306,423[1]
  • "Beautiful Girls"
  • Me Love"
  • "Take You There"
  • "There's Nothin'"

Nyimbo maarufu[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo maarufu alizoimba peke yake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Nyimbo U.S. Hot 100 U.S. R&B U.S. Pop UK Singles AUS Singles Albamu
2007 "Beautiful Girls" 1 15 1 1 1 Sean Kingston
2007 "Me Love" 14 - 9 32 18
2007 "Take You There" 18 - 14 - -
2007 "There's Nothin'" (ameshirikiana na Paula DeAnda) - - - - -

Nyimbo alizoshiriki[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Nyimbo U.S. Hot 100 U.S. R&B U.S. Pop UK Singles Canada Albamu
2007 "Love Like This" (Natasha Bedingfield featuring Sean Kingston) 18 - 11 - 14 Pocket Full of Sunshine
2007 "Big Girls Don't Cry (Remix)" (Fergie featuring Sean Kingston) - - - - - The Dutchess (Japanese re-issue)
2007 "What Is It" (Baby Bash featuring Sean Kingston) - - - - - Cyclone

Marejeo[hariri | hariri chanzo]