Sbuyiselwe Angela Buthelezi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sbuyiselwe Angela Buthelezi
Nchi Afrika ya Kusini
Kazi yake Mjumbe wa bunge


content://com.android.chrome.FileProvider/images/screenshot/17009105139121846186107.jpg Sbuyiselwe Angela Buthelezi (alizaliwa 1967) ni mwanamke wa Afrika Kusini ambaye ni mjumbe wa bunge la Afrika Kusini wa chama Cha Inkatha Freedom Party. [1]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Baba yake ni Mangosuthu Buthelezi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ms Sbuyiselwe Angela Buthelezi - Parliament of South Africa". www.parliament.gov.za. Retrieved 1 April 2021.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sbuyiselwe Angela Buthelezi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.