Inkatha Freedom Party

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Inkatha Freedom Party (IFP) ni chama kisiasa kutoka nchini Afrika Kusini. Kwa mwaka wa 2007, chama kinaongozwa na Mangosuthu Buthelezi.