Saving All My Love for You
Mandhari
“Saving All My Love For You” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Whitney Houston kutoka katika albamu ya Whitney Houston | |||||
B-side | "Nobody Loves Me Like You Do" | ||||
Imetolewa | Agosti 1985 | ||||
Muundo | CD single Cassette single 7" single | ||||
Aina | Soul, R&B | ||||
Urefu | 3:48 | ||||
Studio | Arista Records | ||||
Mtunzi | Michael Masser Gerry Goffin | ||||
Mtayarishaji | Michael Masser | ||||
Mwenendo wa single za Whitney Houston | |||||
|
"Saving All My Love for You" ni kibao kikali cha pili cha mwimbaji mahili wa muziki wa pop na R&B Bi. Whitney Houston. Kibao hiki kinatoka katika albamu yake yenye jina sawa na yeye, Whitney Houston. Kibao hiki chenye mandhari ya jazz na ballad (kilitolewa Agosti 1985) kinahusu mambo ya mapenzi na mume wa mtu, na mwimbaji huo "anatoa mapenzi yake yote kwa bwana huyo". Wimbo huu umetungwa na Michael Masser na Gerry Goffin. Wimbo ulipangwa na Gene Page.
Orodha ya Nyimbo
[hariri | hariri chanzo]US Vinyl, 7", Single
- A Saving All My Love For You 3:46
- B All At Once 4:26
Germany Vinyl 7"
- "Saving All My Love for You" — 3:57
- "Nobody Loves Me Like You Do" (kaimba pamoja na Jermaine Jackson) — 3:46
UK Vinyl, 12"
- A Saving All My Love For You
- B1 All At Once
- B2 Greatest Love Of All
Germany Vinyl, 7"
- A Saving All My Love For You 3:57
- B How Will I Know 3:35
Matunukio
[hariri | hariri chanzo]Nchi | Matunukio | Tarehe | Mauzo |
---|---|---|---|
UK[1] | Gold | 20 Desemba 1985 | 400,000 |
U.S.[2] | Gold | 6 Desemba 1985 | 500,000 |
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (1985) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian Singles Chart | 1 |
Austrian Singles Chart[3] | 12 |
French SNEP Singles Chart[3] | 11 |
German Singles Chart[4] | 18 |
Irish Singles Chart[5] | 1 |
Norwegian Singles Chart[3] | 10 |
Swiss Singles Chart[3] | 5 |
UK Singles Chart[6] | 1 |
U.S. Billboard Hot 100[7] | 1 |
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks[7] | 1 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip Hop Songs[7] | 1 |
U.S. ARC Weekly Top 40 | 1 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ UK certifications Bpi.co.uk (Retrieved 5 Desemba 2008)
- ↑ U.S. certifications riaa.com (Retrieved 5 Desemba 2008)
- ↑ 3.0 3.1 3.2 3.3 "Saving All My Love for You", in various singles charts Lescharts.com (Retrieved 5 Desemba 2008)
- ↑ German Singles Chart Charts-surfer.de Ilihifadhiwa 2 Julai 2007 kwenye Wayback Machine. (Retrieved 5 Desemba 2008)
- ↑ Irish Single Chart Irishcharts.ie (Retrieved 3 Desemba 2008)
- ↑ UK Singles Chart Chartstats.com (Retrieved 5 Desemba 2008)
- ↑ 7.0 7.1 7.2 Billboard allmusic.com (Retrieved 5 Desemba 2008)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Saving All My Love for You kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |