Sarah Mayling

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sarah Mayling (alizaliwa 20 Machi 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uingereza ambae anacheza kama beki wa klabu ya Aston Villa[1] inayoshiriki Ligi ya Wanawake (WSL). [2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-03. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-23. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  3. "England - S. Mayling - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". uk.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarah Mayling kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.