Sarah Garratt
Mandhari
Sarah Garratt ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa nchini Uingereza, ambaye mwaka 2016 alichaguliwa kuwa mwamuzi katika fainali ya Kombe la FA la wanawake, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Wembley mnamo 14 Mei 2016.
Awali Garratt alikuwa mwamuzi msaidizi katika fainali ya Kombe la Wanawake 2011 iliyofanyika katika uwanja wa Ricoh Arena . [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Lavery, Glenn. "Referee Sarah Garratt relishing SSE Women's FA Cup Final call", The Football Association, 5 May 2016. Retrieved on 14 May 2016. Archived from the original on 29 September 2018.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sarah Garratt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |