Sara Larraín

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sara María Larraín Ruiz-Tagle (alizaliwa 1952) ni mwanasiasa na mwanaharakati wa mazingira nchini Chile. Sara María aligombea nafasi ya urais katika uchaguzi wa urais wa 1999. Sara María ni mzaliwa katika kabila la Wabaski.[1] Larraín ni mwanachama ya bodi ya wakurugenzi wa International Forum on Globalization.[2]

Elimu na kazi[hariri | hariri chanzo]

Larraín alisoma katia chuo cha Universidad de Chile mnamo mwaka 1972, akisomea antropolojia na baadaye alimaliza masomo yake katika chuo cha Catholic University of Chile na kupata shahada ya ufundishaji wa Sanaa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sara Larraín kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Chileazul.cl Unidos por un Sentimiento. - Todas las Noticias e información de la "U", en un solo lugar. www.chileauzl.cl". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-26. Iliwekwa mnamo 2014-04-28.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  2. "Bodi ya Wakurugenzi ya IFG". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-02. Iliwekwa mnamo 2011-12-26.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)