Nenda kwa yaliyomo

Sandra Albertz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sandra Albertz (alizaliwa 25 Januari 1975) ni mshambuliaji mstaafu wa mpira wa miguu nchini Ujerumani. Sandra alishinda Kombe la Wanawake la UEFA 2005-06 na klabu ya wanawake ya FFC Frankfurt .[1]


  1. , WorldFootball.net
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandra Albertz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.