Nenda kwa yaliyomo

Samuele Ceccarelli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samuele Ceccarelli

Samuele Ceccarelli (alizaliwa 9 Januari 2000)[1] ni mwanariadha nchini Italia ambaye alishinda medali ya dhahabu katika mita 60 katika mashindano ya ndani ya Uropa mwaka 2023, akimshinda mzalendo na bingwa wa Michezo ya Olimpiki Marcell Jacobs.

Ceccarelli alishinda taji la Italia la mita 60 mwaka 2023, akimshinda Jacobs pia.[2]

  1. "Samuele Ceccarelli".
  2. https://world-track.org/2023/02/samuele-ceccarelli-upsets-lamont-jacobs-to-win-italian-60m-title/%7Ctitle=Samuele
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samuele Ceccarelli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.