Nenda kwa yaliyomo

Samuel Siegfried Karl Ritter von Basch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Siegfried Samuel Basch
Picha ya Siegfried Samuel Basch

Samuel Siegfried Karl Ritter von Basch (9 Septemba 1837, Prague - 25 Aprili 1905) alikuwa daktari wa Austria mwenye asili ya Uyahudi ambaye ni mvumbuzi wa mita ya shinikizo la damu (inajulikana kama sphygmomanometer kwa Kiingereza).

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samuel Siegfried Karl Ritter von Basch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.