Samuel Akinbinu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samuel Temidayo Feargod Akinbinu

Samuel Temidayo Feargod Akinbinu (alizaliwa 6 Juni 1999) ni mwanasoka ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Ligi Kuu ya Djibouti Arta/Solar7 na timu ya taifa ya Djibouti.

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 10 Januari 2018, Akinbinu alisaini mkataba na klabu ya Ligi ya Mpira wa Miguu ya Nigeria Rivers United. [1][2] pia Mnamo tarehe 19 Aprili 2018,Akinbinu ,Akinbinu alisaini mkataba na klabu ya Lobi Stars katika dirisha la uhamisho wa katikati ya msimu. .[3][4]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Akinbinu alipokea uraia wake wa Djibouti mnamo Juni 2021.

Heshima[hariri | hariri chanzo]

Arta/Solar7

  • Ligi Kuu ya Djibouti: 2020–2021, 2021–2022
  • Kombe la Djibouti: 2019–2020, 2020–2021, 2021–2022
  • Kombe la Super la Djibouti : 2020, 2022

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Samuel Akinbinu". flashscore.com. Iliwekwa mnamo 3 July 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Rivers United unveil Aggrey, 14 others". theeagleonline.com.ng. Iliwekwa mnamo 3 July 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Djibouti vs. Somalia". espn.com. Iliwekwa mnamo 3 July 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Amical : Djibouti domine la Somalie". sportnewsafrica.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-09. Iliwekwa mnamo 3 July 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samuel Akinbinu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.