Nenda kwa yaliyomo

Samsong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Samsong

Samson Uche Mogekwu ( akijulikana pia kama Samsong, alizaliwa 1974) ni msanii wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria, anayeishi Abuja, mji mkuu wa shirikisho la Nigeria.

Maisha ya Awali na Elimu

[hariri | hariri chanzo]

Samson Uche Mogekwu alizaliwa mnamo 30 Novemba 1974, katika Jimbo la Delta, eneo la kusini mwa Nigeria. Alianza kuimba akiwa shuleni mwa sekondari, ambapo pia alijichagulia jina la Samsong. Alisoma katika Chuo Kikuu cha Ambrose Alli, Ekpoma, Jimbo la Edo, akichagua somo la Uhasibu.

    Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Samsong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.