Samia Aouni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samia Aouni (alizaliwa Mei 30, 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama beki wa kushoto wa Klabu ya Al Nassr na timu ya taifa ya Wanawake ya Tunisia. [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Match Report of Jordan vs Tunisia - 2021-06-10 - FIFA Friendlies - Women". Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 6 August 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Samia Aoun Stats". FBref. Iliwekwa mnamo 6 August 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samia Aouni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.