Salman bin Abdulaziz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salman of Saudi Arabia - 2020 (49563590728) (cropped).jpg

Salman bin Abdulaziz Al Saud (kwa Kiarabu: سلمان بن عبد العزیز آل سعود‎ 'Salmān ibn ‘Abd al-‘Azīz Āl Su‘ūd'; amezaliwa 31 Desemba 1935) amekuwa Mfalme wa Saudi Arabia na Msimamizi wa Misikiti Mitakatifu Miwili tangu 23 Januari 2015.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salman bin Abdulaziz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.