Salina Kosgei
Mandhari
Salina Jebet Kosgei (alizaliwa Simotwo, Wilaya ya Keiyo, 16 Novemba 1976) ni mkimbiaji wa mbio ndefu kutoka Kenya. Yeye ni mshindi wa medali ya dhahabu kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola, ameshiriki Olimpiki na ameshinda marathoni mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Boston Marathon mwaka 2009.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Salina Kosgei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |