Nenda kwa yaliyomo

Salim Hemed Khamis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salim Hemed Khamis (20 Septemba, 1951 hadi 28 Machi, 2013) alikuwa Mbunge katika Bunge la Tanzania.