Nenda kwa yaliyomo

Salih Özcan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Özcan akichezea Borussia Dortmund mnamo 2023

Salih Özcan (alizaliwa 11 Januari 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.

  1. "Salih Özcan | Borussia Dortmund | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salih Özcan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.