Saleem Bakkoush

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saleem Bakkoush (Kiarabu: سليم البكوش) ni mwimbaji maarufu wa nchini Tunisia . [1]

Mnamo mwaka 2010, alilazimika kughairi kuhudhuria tamasha la Carthage Festival baada ya maandamano kufuatia kuchapishwa kwa picha zinazomuonyesha akiimba kwenye sinagogi la El Ghriba, nyumba kongwe zaidi ya ibada ya Kiyahudi nchini humo. [2] [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Tunisia singer Saleem Bakkoush cancels Carthage concert", BBC News, Aug 9, 2010. Retrieved on Dec 2, 2020. 
  2. Tunisia singer Saleem Bakkoush cancels Carthage concert, BBC, August 9, 2010.
  3. "Arab who sang at synagogue has gig cancelled | The Jewish Chronicle". www.thejc.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-08-24. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saleem Bakkoush kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.