Salama Jabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Salama Jabu (maarufu kwa jina la Nisha) ni mwanamke msanii na muandaaji wa maigizo mahususi ya vichekesho ya Kitanzania [1].

Salama Jabu ni mwanzilishi wa kampuni ya filamu ya Nisha's film production. Pia ametajwa na tovuti ya answersafrica.com kuwa mmoja kati ya wanawake warembo kutoka nchini Tanzania akishika nafasi ya 16 [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salama Jabu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.