Sala ya chakula
Mandhari
Sala ya chakula ni sala ambayo wafuasi wa dini mbalimbali wanaomba baraka kwa vyakula vyao na baadaye wanamshukuru Mungu kwa kuwajalia.
Mfano ufuatao ndio uliozoeleka zaidi kati ya Wakatoliki wanaotumia lugha ya Kiswahili: Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina. Tubarikie Mungu wetu, sisi na chakula chetu tupate nguvu za kukutumikia vema. Amina. Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |