Saki Ueno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saki Ueno (alizaliwa 20 Novemba 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani. Saki alichezea klabu ya Urawa Reds iliyoshiriki ligi ya wanawake ya WE League. Kwasasa ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Japani.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. List of match in 2013 at Japan Football Association
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saki Ueno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.