Nenda kwa yaliyomo

Saint-Maurice-en-Valais

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mandhari yake.

Saint-Maurice-en-Valais ni kijiji cha Uswisi, jimbo la Valais, chenye wakazi karibu 5,000.

Jina linatokana na Morisi Mtakatifu aliyeuawa huko pamoja na kikosi cha Thebe cha jeshi la Dola la Roma.

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saint-Maurice-en-Valais kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.