Nenda kwa yaliyomo

Safiya Hussaini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Safiya Hussaini Tungar Tudu (1967) ni mwanamke wa Nigeria aliyehukumiwa kifo kwa uzinzi mwaka 2002.Tudu alijifungua mtoto akiwa huko sokoto, jimbo la Nigeria chini ya sheria za sharia. Alihukumiwa kupigwa mawe, lakini alifutiwa mashtaka yote machi 2002 baada ya kusikilizwa tena. [1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. INSIDE AFRICA
  2. "Nigerian Woman Avoids Stoning Death". ABC News.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Safiya Hussaini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.