Safia Elmi Djibril

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Safia Elmi Djibril (amezaliwa 1963) ni mwanasiasa wa Jibuti na mwanaharakati wa haki za wanawake. Safia ni mjumbe wa Bunge la kitaifa kutoka chama cha People's Rally for Progress, ambacho ni sehemu ya chama tawala cha  Union for the Presidential Majority.

Kazi ya kisiasa[hariri | hariri chanzo]

Safia Elmi Djibril kwanza aliingia katika siasa kupitia kazi yake kwenye mipango ya afya ya Nchini Djibouti. Yeye ni mpinzani wa muda mrefu wa ukeketaji wa wanawake na mila zingine ambazo ni hatari kwa wanawake na watoto.[1][2][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]