Safari ya Algiers (1519)
Mandhari
Mnamo mwaka 1519, shambulio la pamoja la Uhispania na Italia dhidi ya Algiers liliamriwa na Kaizari Karoli V na kushikiliwa na Hugo wa Moncada.[1] Safari hii iliisha kwa maafa. .[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Istanbul, Rome and Jerusalem: Titans of the Holy Cities Simon Sebag Montefiore Hachette UK
- ↑ Algérie et Tunisie Gilbert Jacqueton Hachette,
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Safari ya Algiers (1519) kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |