Kaizari Karoli V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Karoli V (24 Februari 150021 Septemba 1558) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1519 hadi kujiuzulu mwezi wa Septemba 1556.

Alimfuata babu yake, Maximilian I, na kufuatiwa na mdogo wake Ferdinand I.

Flag of the German Empire.svg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Karoli V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.