Sabra Issa Salim Machano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sabra Issa Salim Machano
Amezaliwa
Tanzania
Nchi Tanzania
Kazi yake Mkurugenzi


Sabra Issa Salim Machano ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa mfuko wa jamii wa Zanzibar - ZSSF (Zanzibar Social Security Fund)[1] nchini Tanzania.

Familia[hariri | hariri chanzo]

Ni mama wa watoto wawili[2]

Uraia[hariri | hariri chanzo]

Ni Mtanzania wa Zanzibar.[3]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa mfuko wa jamii wa Zanzibar - ZSSF (Zanzibar Social Security Fund)[4]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://hakipensheni.blogspot.com/2019/03/hafla-ya-utiaji-saini-wa-ujenzi-mradi.html?pr=100227&lang=en
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-07. Iliwekwa mnamo 2020-04-07. 
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-07. Iliwekwa mnamo 2020-04-07. 
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-07. Iliwekwa mnamo 2020-04-07. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sabra Issa Salim Machano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.