Saad Al-Mukhaini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Saad Al-Mukhaini

Saad Al-Mukhaini (alizaliwa 6 Septemba 1987), anayejulikana kama Saad Suhail, ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya oman ambaye anacheza katika klabu ya Al-Nassr.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2006, alijiunga na klabu ya Al-Oruba SC mwaka 2010,N a baadaye alihamia katika klabu ya Al-Suwaiq ambapo alicheza kwa msimu wa mwaka mmoja kabla ya kusaini katika klabu ya Fanja SC

Mnamo mwaka 2012, alijiunga na Wafalme wa Omani, Dhofar S.C. na pia alicheza hadi mwaka 2013, alirudi katika klabu yake ya zamani iitwayo Fanja SC. Mnamo tarehe 13 Julai 2014, alisaini mkataba wa mwaka mmoja(1) na klabu yake ya kwanza iitwayo Al-Oruba SC.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saad Al-Mukhaini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.