Saša Ihringová

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alexandra "Saša" Ihringová (alizaliwa 29 Januari 1975), ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa Slovakia.[1]

Maisha ya awali na kazi[hariri | hariri chanzo]

Ihringová alikulia katika familia ya wanamichezo huko Bratislava . [2] Kama mchezaji, Ihringová alikuwa mchezaji bora mara tatu tangu 1991 hadi 1994 katika klabu ya Filozof Bratislava. [3] [4]

Alisoma kozi ya waamuzi wa mpira wa miguu wanawake mwaka 1995. [5] Safari yake ya kuwa mwamuzi ilichochewa na mjomba wake Karol Ihring, alitajwa kuwa mwamuzi bora zaidi wa FIFA nchini Slovakia mara tatu. [4]

Mnamo 2006 Ihringová alihamia Uingereza. [6] Alichezesha fainali mbili mfululizo za Kombe la FA la wanawake mnamo 2008 na 2009. [6] Kuhamia kwake Uingereza, na hasa kuhusika atika ngazi mbalimbali za ligi za soka, kulisaidia katika ukuaji wake kama mwamuzi. [7]

Ihringová alichezesha mechi ya msimu wa pili wa fainali ya kombe la UEFA la wanawake 2008 kati ya FFC Frankfurt na Umeå IK, mbele ya watazamaji 27,000 katika uwanja wa Commerzbank-Arena . [8]

Mnamo Aprili 2011 alichezesha mchezo wa kwanza wa ligi ya FA WSL, dhidi ya Arsenal na Chelsea – 0. [9]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Referee". FIFA.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 February 2009. Iliwekwa mnamo 2011-05-09.  Check date values in: |archivedate= (help)
  2. Dana Haščáková (2009-03-29). "Alexandra Ihringová: Musím byť rovnako dobrá ako muži" (kwa Slovak). SME.sk. Iliwekwa mnamo 2011-05-09. 
  3. "Referee". FIFA.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 February 2009. Iliwekwa mnamo 2011-05-09.  Check date values in: |archivedate= (help)"Referee". FIFA.com. Archived from the original on 2 February 2009. Retrieved 9 May 2011.
  4. 4.0 4.1 Kristína Havasová (2003-01-13). "High-flying Slovak female soccer referee scores against the men". The Slovak Spectator. Iliwekwa mnamo 2011-05-09. 
  5. "Assistant Referee Sasa Ihringova". Refworld.com. Iliwekwa mnamo 2011-05-09. 
  6. 6.0 6.1 Janie Frampton (June 2010). "Ambassadors of the game". TheFA.com. Iliwekwa mnamo 2011-05-09.  Check date values in: |date= (help)
  7. Paul Woloszyn and Paul Saffer (2009-09-03). "Ihringova enjoys refereeing chance". UEFA.com. Iliwekwa mnamo 2011-05-09. 
  8. "Assistant Referee Sasa Ihringova". Refworld.com. Iliwekwa mnamo 2011-05-09. "Assistant Referee Sasa Ihringova". Refworld.com. Retrieved 9 May 2011.
  9. "Chelsea vs. Arsenal 0 – 1". Soccerway.com. 2011-04-13. Iliwekwa mnamo 2011-05-09. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saša Ihringová kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.