SUMA-JKT

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shirika la Uzalishaji Mali JKT ni shirika lililo chini ya Jeshi la Kujenga Taifa lililoanzishwa kwa malengo ya kusaidia miradi ya uzalishaji mali iliyo chini ya JKT. [1]

SUMA-JKT hufanya miradi mingi ya kimaendeleo kama kilimo, ufugaji, huduma za ulinzi, zima moto na kadhalika.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu SUMA-JKT kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.