Ryann Richardson
Mandhari
Ryann Richardson ni mwanasiasa, mwanaharakati, mjasiriamali wa teknolojia wa Marekani, pia alikuwa Miss Black America.
Alitumia miaka 10 katika tasnia ya teknolojia,[1] na kiongozi katika Uber na Victor.[2]
Alianzisha jukwaa la mtandao la watendaji, na alianzisha Ellington Lafayette inkubeta ya teknolojia yenye lengo la kusaidia wanawake, walemavu wa ngozi, na jamii zingine zilizotengwa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ryann Richardson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |