Ruby
(Elekezwa kutoka Ruby (programming language))
Ruby | |
---|---|
Shina la studio | namna :namna nyingi |
Imeanzishwa | Desemba 21 1995 |
Mwanzilishi | Yukihiro Matsumoto |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: Ada, C++, CLU, Dylan, Eiffel, Lisp, Lua, Perl, Python, Smalltalk, Basic
Ilivuta: Clojure, CoffeeScript, Crystal, D, Elixir, Groovy, Ioke, Julia, Mirah, Nu, Ring, Rust, Swift |
Mahala | Yukihiro Matsumoto, et al. |
Tovuti | https://www.ruby-lang.org/en/ |
Ruby ni lugha ya programu. Iliundwa na Yukihiro Matsumoto na ilianzishwa tarehe 21 Desemba 1995. Iliundwa ili kurahisisha kujifunza lugha za programu. Leo tunatumia Ruby 2.7.0. Ilivutwa na Python.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Ilianzishwa 21 Desemba 1995 nchini Japani. Kisha kitabu cha kwanza kilichapishwa nchini Japani mwaka wa 1999; kiliitwa "Lugha ya programu Ruby inaozingatiwa kuhusu kipengee (オブジェクト指向スクリプト言語 Ruby).
Falsafa[hariri | hariri chanzo]
Namna ya Ruby ni namna nyingi kama lugha za programu nyingi.
Sintaksia[hariri | hariri chanzo]
Sintaksia ya Ruby ni rahisi sana. Ilivutwa na sintaksia ya Pearl, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya Ruby[hariri | hariri chanzo]
Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
$ irb
irb(main):001:0> puts 'Jambo, Ulimwengu'
Jambo, Ulimwengu
Programu kwa kuchapa orodha ya maneno.
array = [1, 'hi', 3.14]
array.each {|item| puts item }
# prints:
# 1
# 'hi'
# 3.14
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Metz, Sandi (September 5, 2012), Practical Object-Oriented Design in Ruby (toleo la First), Addison-Wesley, uk. 272, ISBN 0-321-72133-0 Check date values in:
|date=
(help) - McAnally, Jeremy; Arkin, Assaf (March 28, 2009), Ruby in Practice (toleo la First), Manning Publications, uk. 360, ISBN 1-933988-47-9 Check date values in:
|date=
(help) - Thomas, Dave; Fowler, Chad; Hunt, Andy (April 28, 2009), Programming Ruby 1.9: The Pragmatic Programmers' Guide (toleo la Third), Pragmatic Bookshelf, uk. 1000, ISBN 1-934356-08-5 Check date values in:
|date=
(help) - Black, David (June 4, 2009), The Well-Grounded Rubyist (toleo la First), Manning Publications, uk. 520, ISBN 1-933988-65-7 Check date values in:
|date=
(help) - Flanagan, David; Matsumoto, Yukihiro (January 25, 2008), The Ruby Programming Language (toleo la First), O'Reilly Media, uk. 446, ISBN 0-596-51617-7 Check date values in:
|date=
(help) - Baird, Kevin (June 8, 2007), Ruby by Example: Concepts and Code (toleo la First), No Starch Press, uk. 326, ISBN 1-59327-148-4 Check date values in:
|date=
(help) - Fitzgerald, Michael (May 14, 2007), Learning Ruby (toleo la First), O'Reilly Media, uk. 255, ISBN 0-596-52986-4 Check date values in:
|date=
(help) - Cooper, Peter (March 26, 2007), Beginning Ruby: From Novice to Professional (toleo la First), Apress, uk. 664, ISBN 1-59059-766-4, ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-09-17, iliwekwa mnamo 2020-02-09 Check date values in:
|date=
(help) - Fulton, Hal (November 4, 2006), The Ruby Way (toleo la Second), Addison-Wesley, uk. 888, ISBN 0-596-52369-6 Check date values in:
|date=
(help) - Carlson, Lucas; Richardson, Leonard (July 19, 2006), Ruby Cookbook (toleo la First), O'Reilly Media, uk. 906, ISBN 0-596-52369-6 Check date values in:
|date=
(help)