Rubén Vargas Ugarte
Mandhari
Rubén Vargas Ugarte (22 Oktoba 1886 – 14 Februari 1975) alikuwa kasisi wa Kijesuiti na mwanahistoria kutoka Peru.
Alikuwa rais wa tatu wa Chuo Kikuu Katoliki cha Kipapa cha Peru (Pontifical Catholic University of Peru) na alitawazwa kuwa kasisi katika Shirika la Yesu mnamo 1921. [1], alihudumu kama Mkurugenzi wa Maktaba ya Kitaifa ya Peru.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |