Rotorua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rotorua / Te Rotorua-nui-a-Kahumatamomoe

Mji wa Rotorua (New Zealand)
Habari za kimsingi
Mkoa Bay of Plenty
Anwani ya kijiografia Latitudo: 38°08′0″16 - Longitudo: 176°15′05″E
Eneo 2,614.9 km²
Wakazi 55,900 (mji pekee)
68,600 (pamoja na rundiko)
Msongamano wa watu watu 26.2 (mji pekee) kwa km²
Simu +64 (nchi), 07 (mji)
Mahali

Rotorua (kwa Kimaori: Te Rotorua-nui-a-Kahumatamomoe) ni mji wa New Zealand wenye wakazi 22,900 (2010).

Uko upande wa kaskazini wa funguvisiwa. Eneo lake ni km² 2,614.9. Mji uliaNzishwa mwaka 1883.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.