Rote
Mandhari
(Elekezwa kutoka Roti)
Rote (au Roti) ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini-magharibi wa kisiwa cha Timor. Eneo la kisiwa ni 1214 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Ba'a. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 119,711. Watu wakaao kisiwani kwa Rote huongea lugha mbalimbali kama Kibilba, Kidela-Oenale, Kidengka, Kilole, Kirikou, Kitermanu na Kitii.
Picha za Rote
[hariri | hariri chanzo]-
Ufukoni Rote
-
Raja (chifu) wa Rote magharibi mwaka 2007
-
Mpiga ngoma wa Rote akivaa kofia ya kimila
-
Chifu wa eneo la Korbafo mnamo mwaka 1900.
-
Wenyeji wa Rote mnamo 1899-1900
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|