Ronaldinho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ronaldinho.

Ronaldo de Assís Moreira, anafahamika zaidi kama Ronaldinho (amezaliwa tar. 21 Machi 1980 mjini Porto Alegre) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Brazil. Mnamo mwezi Januari ya mwaka wa 2007 amekuwa raia kamili wa Hispania.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: