Ron Smerczak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ron Smerczak (Ufalme wa Muungano, 8 Julai 1949 - 12 Mei 2019[1]) alikuwa mwigizaji wa Afrika ya Kusini ambaye alionekana kwenye mfululizo wa sinema ya telenovelas kwenye runinga na pia alitoa mchango kwenye sinema ya Afrika ya Kusini.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Smerczak alihudhuria Timu ya Taifa ya Vijana ya Uingereza mnamo mwaka 1965-1970 pamoja na Royal Academy of Dramatic Art London mnamo 1969-1971. Baada ya hapo, Smerczak alihitimu elimu yake katika chuo cha University of Cardiff.[2][3]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Smerczak alionekana katika baadhi ya maonyesho kwenye runinga za Afrika ya kusini. pia alifanya kazi katika filamu kadhaa, ikiwa ni pamoja na American Ninja 4, Who Am I?, Cyborg Cop pamoja na nyingine nyingi.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Veteran actor Ron Smerczak dies (69)
  2. Ron Smerczak at TVSA. TVSA. Retrieved 3 December 2014.
  3. Film crew nab theft suspect Archived 26 Mei 2015 at the Wayback Machine.. DispatchLive. Siya Boya. January 16, 2014
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ron Smerczak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.