Roman Fosti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Roman Fosti Amezaliwa 6 Juni 1983. Ni mkimbiaji wa umbali mrefu wa Estonia ambaye ana utaalam katika marathon.[1]Alishiriki katika mashindano ya dunia ya mwaka 2015 mjini Beijing na kumaliza katika nafasi ya 20, Michezo ya Olimpiki ya 2016 huko Rio de Janeiro kumaliza nafasi ya 61, na Mashindano ya Dunia ya 2017 huko London kumaliza nafasi ya 53,Hapo awali alishiriki zaidi katika matukio ya umbali wa kati na kubadili marathon mwaka 2013.[2]

Jaribio[hariri | hariri chanzo]

  1. Roman FOSTI | Profile | World Athletics. www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-11.
  2. https://www.ekjl.ee/content/editor/files/Yldine/Team%20Estonia_veebiformaat.pdf