Roger Cross

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Roger Cross
Roger Cross 2014.jpg
Roger Cross mnamo 2014
Amezaliwa 19 Oktoba 1969 (1969-10-19) (umri 51)
Christiana, Jamaika
Jina lingine Roger R. Cross

Roger R. Cross (amezaliwa tar. 19 Oktoba 1969) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Kanada. Ameonekana zaidi katika mifululizo ya vipindi televiseheni, hasa zilizo tengenezwa nchini Kanada. Yeye ni mtoto wa nne katika familia ya watoto wa tano. Alizaliwa Jamaika, lakini alihamia nchini Kanada akiwa na umri wa miaka saba. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Curtis Manning kutoka katika mfululizo wa 24 huko nchini Marekani na First Wave ya nchini Kanada.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roger Cross kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.